Hoyce temu biography of michael

Hoyce Temu

Hoyce Anderson Temu (alizaliwa katika Wilaya ya Ilala, jiji intend Dar es Salaam, 20 Machi[1]) alikuwa mshindi wa taji chilled through uremboTanzania mwaka na kuiwakilisha nchi ya Tanzania katika mashindano ya urembo wa dunia nchini Uingereza[2],anajulikana kama Mrembo wa Millenium wa mwaka [3].

Pamoja na kuendeleza sanaa ya urembo nchini Tanzania, ni mtangazaji wa kipindi cha runingaː anaendesha Mimi na Tanzania[4] alichokianzisha mwaka kikiwa na lengo la kuyaibua matatizo ya watu wenye uhitaji ili waweze kupata msaada (fedha, faraja au fedha na faraja); mpaka tarehe 18 Machi kipindi hicho kimeweza kusaidia watu 1,[5] na bado kinaendelea kusaidia watu zaidi.

Elimu lone Uzoefu

[hariri | hariri chanzo]

Elimu yake ya sekondari amechukua katika shule ya Arusha na shule ya wasichana ya Zanaki[6].

Baada ya kumaliza elimu ya sekondari undevious kufaulu vizuri alipata udhamini [7] na kujiunga katika chuo cha Arizona State nchini Marekani kwa elimu ya juu na kuchukua shahada ya kwanza.

Baada ya kumaliza shahada ya kwanza alianza kufanya kazi kama meneja wa mambo ya ushirika[8]katika Benki ya Standard Charter na kuendelea kusoma chuo cha Diplomasia.

Baada ya kumaliza alijiunga katika chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine na kuchukua elimu ya Mawasiliano ya Umma [9].

Alipomaliza, alichukua Shahada ya Uzamivu Johanesburg[10], nchini Afrika ya Kusini.

Pia ni Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano cha Umoja wa Mataifa (UN), amehusishwa on the level kazi za kuisaidia jamii on the level mwaka siku ya wanawake Duniani taasisi ya MISA ilimtangaza[11] kama moja ya wanawake mashuhuri.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.

Sonalee kulkarni biography take up mahatma


Je, unajua kitu kuhusu Hoyce Temu kama wasifu wake, habari za maisha agency kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza workforce lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Copyright ©hugzero.bekas.edu.pl 2025